Posts

Showing posts from April, 2018

Soma hapa jinsi ya kuwa na nguvu za kiume za kutosha pasipo hata kutumia DAWA

Image
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume haraka Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana. Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili. Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’ . Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha. Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana...

"What is LOVE???. Read here to know

Image
Don’t let the word love define your LOVE Love is the most powerful emotion a human being can experience. The strange think is, that almost nobody knows what love is. Why is it so difficult to find love? That is easy to understand, if you know that the word “love” is not the same as one’s feeling of love. The word “love” is used and abused for the expression of different sets of feelings. The word love is used as an expression of affection towards someone else (I love you) but it also expresses pleasure (I love chocolate). To make it a little more complicated, the word “love” also expresses a human virtue that is based on compassion, affection and kindness. This is a state of being, that has nothing to do, with something or someone outside yourself. This is the purest form of Love. The ancient Greek used 7 words to define the different states of love: Storge: natural affection, the love you share with your family. Philia: the love that you have for friends. Eros: sexual and erotic desir...

Haya ndio maajabu ya msitu uitwao NYUMBANITU uliopo mkoani Iringa nchini Tanzania

Image
NYUMBANITU: MSITU WA AJABU MKOANI NJOMBE WENYE KUKU WEUSI, NG'OMBE WEUSI, MBUZI WEUSI NA KONDOO WEUSI. ※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※※ Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa Njombe ina wakazi wanaofikia kuwa 702,097. Mkoa wa Njombe ni maarufu kwa kilimo cha mahindi na viazi. Makabila makubwa ya wenyeji mkoani Njombe ni Wabena, Wakinga na Wapangwa, na uwiano wao ni 37:11:3. Kama ilivyo mikoa mingine, Njombe ina historia yake ya kipekee. Neno "Njombe" lenyewe limetokana na jina la mti unaoitwa "Mdzombe" ambao ulipatikana kwa wingi eneo la Mdandu yalikokuwa makao makuu ya Ngome ya Mjerumani wakati huo (Bomani). Mkoa wa Njombe Una vivutio vingi sana vya utalii, Nyumbanitu ni kimojawapo. NYUMBANITU NI...